gs| Photo| changez ndzai

Grayson Gideon

Nikati ya watangazaji wenye ushawishi mkubwa si nchini Tanzania peke yake bali Africa Mashariki kwa ujumla. Kazi yake tamu ya kuhakikisha anapeana burudani lukuki ya kukatana na shoka, imefunya kutambulika na wengi na pia kujizolea heshima ya kipekee kwenye jamii. Na si kwa radio tu pekee, bali Grayson pia huwa host mkali tuu nyuma ya blue screen ( TV). Nikupitia sifa hizi, ndio maana leo kwenye kitengo chetu cha ( Celeb Crush) mtangazaji huyu anatupambia ukurasa wetu huu. Ambao huwa hatuletu tu mastaa wa muziki pekee bali pia watu maarufu wenye vipaji mbalimbali na wenye musukumo maalumu katika jamii.
A post shared by grayson gideon (@graysongideon) on

Nikati ya watu muhimu nchini Tanzania, ambao kwakweli mchango wao katika kuhakikisha muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania unakuwa kila uchao. Kwakweli katika orodha ya wadau wa muziki Africa Mashariki inaposomwa basi halitaweza kuachika kusomwa jina Grayson Gedion. Anabahati ya kuwa host wasanii A list wa hapa Africa Mashariki wakiwemo Alikiba, Diamond, Lady Jaydee na wengine wengi zaidi. Kwa mktadha huu, sisi hapa kutoka Kenya kwenye meza yetu ya EaBana blog basi hatuna budi kukupongeza na kukutakia kila lakheri kaka katikaa mishemishe zako hizi za kuusukuma muziki wa Africa Mashariki katika hatua za juu zaidi.

A post shared by grayson gideon (@graysongideon) on

Post a Comment

Previous Post Next Post