Ousmane Dembele akivalia pamba na Borrusia Dortmund kwenye moja wapo ya mechi za kuwinda ligi kuu Ujerumani, Bundesliga. Picha/Getty Images
Ousmane Dembele akivalia pamba na Borrusia Dortmund kwenye moja wapo ya mechi za kuwinda ligi kuu Ujerumani, Bundesliga. Picha/Getty Images
Klabu ya Barcelona imekamilisha usajili wa mshambualiji wa Borrusia Dortmund Ousmane Dembele kwa uhamisho wa kitita cha £135.5m.
Mchezaji huyo wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 20 ametia saini kandarasi ya miaka mitano katika uwanja wa Nou Camp akiwa na rais wa klabu hiyo Josep Maria Bartomeu siku ya jumatatu.

Kandarasi hiyo ni ya pili kwa thamani baada ya ile ya hivi karibuni ya Neymar kuelekea PSG iliogharimu pauni milioni 200.
Dembele alieleza kufurahishwa  sana kujiunga na Barca akidai Imekuwa ndoto kwake tangu akiwa mdogo kuichezea timu hiyo ila sasa imetimia.

Post a Comment

Previous Post Next Post