Moja wapo ya vyungu vya kuandaa droo ya Uefa Uropa League. Picha/Kwa hisani
Moja wpao ya vyungu vya kuandaa droo ya Uefa Uropa League. Picha/Kwa hisani
Katika droo ya mechi za makundi kuwinda taji la UEFA Uropa msimu huu, klabu ya Arsenal imepangwa kwenye kundi moja na Cologne na Red Star Belgrade huku vijana hao wa kocha Arsene Wenger wakishiriki ligi ya daraja la pili barani Uropa kwa mara ya kwanza tangu mwaka wa 1997.

The Gunners wanavyofahamika kwa jina lao la kupanga pia wamekutanishwa na Belarus  na Bate Borisov katika droo iliyoandaliwa leo ambapo imeshuhudia  miamba wa soka barani Uropa AC Milan ikipangwa na Austria Vienna, AEK Athens na Rijeka ya Croatia.

Klabu anamochezea Wayne Rooney, Everton imewekwa katika kundi moja na Lyon ya Ufaransa, ambao uga wao wa wa  Groupama Stadium utaandaa fainali mnamo Mei 16 mwaka ujao.

Klabu ya Italy ya Atalanta ana Cypriot minnows Apollon inakamilisha timu zilizokutanishwa na Everton.


DROO KAMILI…

KUNDI A:
Villarreal,
Maccabi Tel-Aviv,
Astana,
Slavia Prague


KUNDI B:
Dynamo Kiev,
Young Boys,
Partizan Belgrade,
Skenderbeu


KUNDI C:
Braga,
Ludogorets,
Hoffenheim,
Istanbul BasaksehirKUNDI D:
AC Milan,
Austria Vienna,
NK Rijeka,
AEK Athens


KUNDI E:
Lyon,
Everton,
Atalanta,
Apollon Limassol


KUNDI F:
FC Copenhagen,
Lokomotiv Moscow,
Sheriff Tiraspol,
 FC Zlin


KUNDI G:
Viktoria Plzen,
Steaua Bucharest,
Hapoel Beer-Sheva,
FC Lugano


KUNDI H:
Arsenal,
BATE Borisov,
Cologne,
Red Star BelgradeKUNDI I:
Salzburg,
Marseille,
Vitoria Guimaraes,
Konyaspor

KUNDI J:
Athletic Bilbao,
Hertha Berlin,
Zorya Luhansk,
Ostersunds


KUNDI K:
Lazio,
Nice,
Zulte Waregem,
Vitesse Arnhem

KUNDI L:
Zenit,
Real Sociedad,
Rosenborg,
Vardar 


Post a Comment

Previous Post Next Post