Nandy
 Nandy nikati ya mastaa wakali kutoka Bongo amabo wamekuja kuteka muziki wa kizazi kipya kwa fujo. Nandy kwasasa hashikiki kwa jinsi vile vibao vyake vimeshika Africa Mashariki hadi upeo wa Africa kwa jumla. Tanzania mashabiki wameanza mjadala wa kumfananisha staa huyo na mwanadada na mwanamuziki mwenzake maarufu kama Ruby. Hapa chini nimekusogezea karibu na wewe mistari mitamu ya ngoma yake kwa jina Kivuruge pamoja na video yake kwa mpigo.

Verse 1:
Aaah Aaah
Aaah Aaah
Mmh Mmh

Uliyenipa maumivu kama nyang'au,
Na tena maumivu dawa niwe mnyonge Mhh,
Kwa marafiki, mashoste ukanidharau,
Ukanitia uvivu stress niwe mnyonge,

Ooooh! Oooooh! x 2

Leo sina thamani, ndio maana,
Unawaata milipo Ooh Baba,
Leo sina thamani, Ooh baba,
Unawafats milupo, Ooh baba,

Wee niaache.

Chorus:

Nitapona mdogo mdogo nitapona,
Niache niende salama,
Nitapona mdogo mdogo nitapona,
Wee niache.
 Nitapona mdogo mdogo nitapona,

Niache niende salama aah aah,
Nitapona mdogo mdogo nitapona,
Aaah aaah aaah,
Ooooh Ooooh ooh aah,

Mara ugomvi unakuripua unanitukana mimi,
Hata zawadi nikikuletea hausemi asante,
Tena na share bila kujua we haulidhiki kwanini,
Kunawakati nilijisumbua, mwenzangu usiwaze,
Wangu moyo we unauchanganya aah,
Umekuwa kivuruge unavuruga sana,
Baba weeh!
Kitu gani kwako misijaanya,
Ama kuna mtu mnapendana sana,

Chorus:

Leo sina thamani, ndomana,
Unawaata ma-sister doo Ooh Baba,
Leo sina thamani eeh, ndomana,
Unawafata ma-sister doo Ooh Baba,
Weeh niachee eeeh

Nitapona mdogo mdogo nitapona,
Niache niende salama,
Nitapona mdogo mdogo nitapona,
Wee niache.
Nitapona mi
 Nitapona mdogo mdogo nitapona,
 Kidogo kidogo kidogo x 2

Aaaiyah Aaaiyah aaah aaaiyah,
Ooooh Ooooh.
Post a Comment

Previous Post Next Post