Diamond Platnumz Akiwa Na Mboso Jukwaani.

Baada ya kuvunjika kwa kundi la muziki kutoka nchini Tanzania maarufu kama Yamoto Band, Maromboso ambaye alikuwa kati ya vijana wale walio unda kundi hili kwasasa amejiunga na WCB wasafi. Maromboso ambaye kwasasa pia, amejiunda upya hadi jina pia amelibadili kama Mboso kinyume na alivyokuwa wakati wa nyuma akiwa kwenye kundi la Yamoto Band, majuzi tu uzinduzi wa kibao chake kipya kiitwacho Watakubali akiwa chini ya mwavuli wa WCB, kimemurudisha staa huyu wa muziki akiwa anaongeza nambari ya wasanii waliopo chini ya msanii na Mwasisi wa WCB Diamond Platnumz kufikia sita. Leo nimekusogezea, mistari ya kibao hicho na video yake kwa pamoja. Karibu.

Maaaah Maaah Aaah!
Mmh! WooooH Woo wooh!
Wooh Wooh Wooh!
Wow Wow!

Verse 1:

Hasara, Mungu kaninyima upole,
Haliyabgu majalala,
Mwali nilokosa mkole,
Terminal mbagala,
Ofisi ya kilandole,
Nawakalisha mafala,
Wajinga wakuja Bongo, Wageni wa Dar-es-salaama.
 Vipi nitakizi mahitaji yako,
Yangu yananishinda,
Hali yangu mbaya sina godoro,

Bridge:

Navipi kuhusu wazazi wako,
Kielimu mimi mjinga,
Japo mapenzi hayanaga kasoro.
Kama una kumbukumbu,
Hata babako nishawahi kumkaba,
Alilia kwa uchungu mamako nilipo mpora zaga.

Chorus:

Je watakubali?
Hivi unadhani watakubali?
Wazazi wako watakubali?
Mimi na wewe hatulingani watakubali?
Hadhi yangu nayako watakubali?
Hivi unadhani watakubali?
Waah! Watakubali?
Shida mama shida watakubali? Aah aah aah!

Verse 2!

Najua unataka tuoaene,
Miguu yangu kutwa ipo busy,
Sitaki ubaki mjane,
Kula kwangu hadi nikimbizwe eh,
Niendapo barabarani,
Usinisubiri nikakwambia ngoja,
Mana si kasi la vitani,
Kufa ni tendo la mara moja.
Mda mwingine shati begani,
Pekupeku utadhani nimerogwa,
Mguu nje mguu ndani,
Defenda ianakubeba ka-mzoga.
Raha ya mapenzi shemeji kucheka,
Dada na majirani,
Nishafanya kote majengeka,
Hawanitaki mtaani.

Bridge:

Navipi kuhusu wazazi wako,
Kielimu mimi mjinga,
Japo mapenzi hayanaga kasoro.
Kama una kumbukumbu,
Hata babako nishawahi kumkaba,
Alilia kwa uchungu mamako nilipo mpora zaga.

Chorus:

Je watakubali?
Hivi unadhani watakubali?
Wazazi wako watakubali?
Mimi na wewe hatulingani watakubali?
Hadhi yangu nayako watakubali?
Hivi unadhani watakubali?
Waah! Watakubali?
Shida mama shida watakubali? Aah aah aah!

Konge kisimu cha camra, Naanzaje?
Nikiyarusha roho madere, Naanzaje?
Eeh! Saloon uende kila wiki, Naanzaje?
Weekend tuende kwa muziki, Naanzaje?
Naanzaje? Naanzaje? Eeh!Post a Comment

Previous Post Next Post