Nyota Ndogo x Mr. Blue|Song|Mpenzi|Year|2006

Sweet memories can not be erased easily, they always stay with the persona. Now here at #EaBana I will be bringing you these memories via music videos done by our East African music artists. The very first artists to open that chapter are Nyota Ndogo from Kenya and Mr. Blue Tanzanian mega star together in one song they did it back in 2006.Chorus: Mpenzi amekubali,
Na sasa penzi linanawiri x2

Nyota Ndogo:

Siku ya kwanza kumuona,
Kila kitu nilebeba mkononi kilianguka,
Na butwaa,
Ilinipigwa na mshangao wa ajabu,
Alingia, mwendo wake,
Ulinivutia hata nyuma sikuweza kuangalia,
Mkino yake oooh ameumbika oooh ameumbika.
Ooooh oooooh

Chorus:Penzi amekubali, na sasa penzi linanawiri x2

Usiku wake sikulala,
Ndoto nyingi zakumfikiria,
Zilikuja kwa wingi,
Nikawazavipi mimi nitaanza kwenda kwakwe kumkaribia,
Mda kidogo, nikasikia hodi mlangohuo unabishwa,
Nikifungua...oooh ooooh kumbe ninyeye ooh ooh ooh

Mr. Blue

Kwanza maa mi nimekoma,
Ulivyovyaa pili mi nakwita,
Sogea maa, nikueleze maa taratbu,
Halafu maa unipee majibu,
Basi kubali wangu maa malaika,
Usijali mpaka home utafika,
Wende home ukamone mummy girl,
Uzame mpaka ndani ukamone daddy girl...come on.

Chorus:Penzi amekubali,
na sasa penzi linanawiri x2

Nyota Ndogo:

Nilimuona sikuogopa sikujali angesemanini,
Alinijia mwangu moyoni, nikamuendea kusema ya moyoni,
Wasiwasi sikua nao, maana nilikua nimeamua,
Nitalosema likubalike, lisikubalike nitajaribu,
Nitalosema likubalike, lisikubalike nitajaribu,
Nitalosema likubalike, lisikubalike nitajaribu,

Mr. Bleu:

Uzuri wako maa ndio maana naimba nyimbo,
Twendwe nao washikaji niwachape fimbo,
Unauzuri maa kama wa Naumi Cambel,
Namimi sisiti ndio maananakuita mrembo,
Mpaka mdebe shedi, aunikubebe side,
Uamini niimekubali maa, penzi langu utafaisi tufe wote ikibidi,
Nikupe panzi la gali maa, I love you girl….Mwaah.

Chorus:Penzi amekubali,
na sasa penzi linanawiri x2

Post a Comment

Previous Post Next Post