Msanii kutoka Kenya Beka the Boy, ameachia ujio wake mpya  kwa jina potion, Beka the Boy ambaye mwaka huu wa 2018 amekua akisifika kwa kuwa miongoni mwa wasanii wakali nchini Kenya ambao wameweza kuipeperusha bendera ya nchi hii kwenye ulingo wa muziki Africa Mashariki. Hata hivyo kwa mara hii Beka the Boy ameenda mbali zaidi, nakutafuta huduma za kurekodi muziki kutoka kwa mtayarishi maarufu Motif na upande wa video akamuunganisha gwiiji wa kutayarisha filamu Africa Mashariki si mwingine bali ni X-Antonio. Tazama picha za behind the scene za video hiyo hapa chini, unaweza itazama na kufurahia ubora wa video ya Potion kupitia kwa channel ya Beka the Boy ya YouTube na kuburidika zaidi.

Post a Comment

Previous Post Next Post