#PepetoMichezoni Mkufunzi wa Arsenal Unai Emery amaeambiwa atapewa kitita cha pauni milioni 45 tu kwenye dirisha kubwa la uhamisho mwishoni mwa msimu. Mkufunzi huyo inasemekana anatakiwa kuwa katika nambari 5 bora ya jedwali la ligi.

Arsenal Manager Unai Emery kupewa Million 45 za kusajili. PHOTO | BANA


Post a Comment

Previous Post Next Post