#PepetoMichezoni Baada ya kuitandika Zamelek mabao 4-2 kwewnye mashindano ya kombe la mashirikisho, kilabu ya Gor Mahia imesema haina fedha za kukidhi safari yakuwapeleka Angola kwa mechi ya pili ya kundi D kukabiliana na Petro Atletico.

Haya yamethibitishwa na mwenyekiti wa timu hiyo Ambrose Rachier na wameiandikia wizara ya michezo kuhusiana na kilio chao. Mechi dhidi ya Petro Atletico imeratibiwa kusakatwa mwezi huu tarehe 13 mjini Luanda Angola.

Picha kwa hisani.

Gor Matatani. PHOTO | Kwahisani

Post a Comment

Previous Post Next Post